SABABU ZA BEI YA MAFUTA KUPANDA

0:00

Dar es salaam.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetangaza bei kikomo za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano August 02/08/2023 saa 6 usiku ambapo kwa mwezi August 2023 bei za rejareja za mafuta katika mkoa wa Dar es salaam petroli ni Shilingi 3199 kwa lita moja ,dizeli shilingi 2935 na huku mafuta ya taa 2668.

Mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi August 2023 yaliyoonyesha kupanda kwa bei yanatokana na changamoto za upatikanaji wa Dola ya Marekani,Mabadiliko ya sera za kodi,kushuka kwa shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani,Ongezeko la gharama za mafuta katika soko la Dunia na gharama za uagizaji wa mafuta.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related News 📫

Leak private conversation between Nkechi Blessing and...
Nigerian Star actress Nkechi Blessing Sunday is relishing her blossoming...
Read more
BIBI HARUSI ALIYEFARIKI AJALINI MAMA YAKE KUZIKWA...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Sakata la Mchezaji wa Simba KIBU DENIS...
MENEJA WA KIBU ANAWADAI Simba SC Tanzania "Mchezaji (Kibu) alipomaliza mkataba,...
Read more
I could start a church if I...
Award-winning musician, Wizkid has said he could start a church...
Read more
See also  DONALD TRUMP ASHINDA UCHAGUZI

Leave a Reply