0:00
Dar es salaam
Watumishi wa Posta ni maofisa George Mwamgabe,Sima Ngaiza na Dereva wa shirika hilo Abdulrahman Msimu,wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha Dawa aina ya Heroin na Bangi.
Imeelezwa Agosti 2018 katika ofisi za Posta Ilala jijini Dar es salaam, washtakiwa walisafirisha Bangi yenye uzito wa Gramu 124.55 na Heroin Gramu 1.55 kupitia vifurushi vya Mizigo kutoka Dar kwenda Morogoro.
Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu ,imeahirisha kesi hiyo hadi Agosti 14,2023 ambapo washtakiwa watarudi kwaajili ya kujitetea.
Related Posts 📫
🌟 Kisukari na Athari za Mitindo ya Maisha Isiyofaa 🌟
Shirika...
Formal Black American pres. Barack Obama has finally spoken out...
Despite the substantial investment, the country continues to grapple with...
MEXICO CITY, - Formula One stewards set a precedent in...
HABARI KUU
Rais wa Jamhuri ya Uganda na Amiri Jeshi...