AZIZ KI RASMI AONDOKA YANGA

0:00

Dar es salaam

Inavyoonekana sasa ni rasmi kocha Mkuu wa Yanga Muargentina ,Miguel Gamondi atamtumia Mkongomani Maxi Mpia Zengeli kucheza namba 10 na siyo winga tena katika kuelekea msimu ujao.

Taarifa ambazo ninazo kutoka ndani ya kambi ya timu hiyo ,ambayo wameiweka huko kijiji cha Avic Town ,Kigamboni kocha Gamondi amevutiwa na kiwango kizuri cha Maxi hususani kwenye umiliki wa mpira, kunyang’anya mpira na kupiga pasi za mwisho.

Kocha Gamondi ameonekana kumuandaa Maxi katika mazoezi yake kwa kumuongezea baadhi ya mbinu hili kuhakikisha anacheza vizuri zaidi. Hii imetokana na baadhi ya wachezaji wapya ambao wamesajiliwa na kati yao ni Maxi ambaye alisajiliwa kucheza kama winga lakini kocha inavyoonekana amevutiwa nae na ameamua kumpa majukumu mapya.

Katika siku za hivi karibuni kwenye michezo mitatu ya kirafiki ,kocha amemtumia kucheza namba 10 ,mfano mechi ya Kaizer Chiefs ya AFRIKA Kusini.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Boniface seals Bayer Leverkusen's comeback in...
Bayer Leverkusen pulled off a stunning Bundesliga comeback when they...
Read more
Kolbe tries help Springboks inflict another rugby...
Kolbe took De Allende’s pass and sprinted down the wing...
Read more
SERIKALI YATOA MAAGIZO 18 KUIKABILI EL NINO...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo....
Read more
THE FOUR STAGES OF RELATIONSHIP
The honeymoon stage. In the honeymoon stage everything happens effortlessly....
Read more
DART KUPATA MWEKEZAJI MPYA
HABARI KUU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za...
Read more
See also  KAI HAVERTZ ON MIKEL ARTETA INTERVIEW

Leave a Reply