0:00
London
Arsenal imetwaa Ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya kuifunga Manchester City kwa mikwaju ya penati 4-1 baada ya timu hizo kutoshana nguvu kwa kutoka sure ya 1-1 baada ya dakika 90 za mchezo huo uliochezwa kwenye dimba la Wembley,London.
Mchezo huu wa kuashiria ufunguzi wa pazia la Ligi ya Uingereza (EPL) huwakutanisha Bingwa wa Ligi na Bingwa wa FA kwa msimu uliopita. Manchester City ilitwaa mataji yote hivyo imekutana na Arsenal kama mshindi wa pili kwenye Ligi hiyo pendwa Duniani.
Hii ni mara ya tatu Arsenal na Manchester City wanakutana katika Mchezo wa Ngao ya Jamii ,Arsenal akiwa na rekodi ya kushinda mara mbili .Arsenal 4-0 Manchester City (1934) na Arsenal 3-0 Manchester City (2014)
Related Posts 📫
LOVE ❤
WHEN SEX IN MARRIAGE IS SWEET_____________________________1. Affairs are...
Michezo
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa stars" imeandika rekodi...
The 33-year-old has only been at the Catalan club for...
Actress Priscilla Ojo questioned her mother, Iyabo Ojo, for not...
HONG KONG, 🇭🇰 - Al-Hilal's Aleksandar Mitrovic got a hat-trick...