0:00
Dar es salaam
Mpemzi msomaji wa Magazeti ni asubuhi nyingine tena ambapo leo magazeti yana habari kuhusu Simba Day na Janga la Moto Ubungo. Magazeti ya hivi leo karibu yote yameandika kuhusu Simba Day ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu ambaye kati ya mengi aliyosema ni kuhusu kuipongeza Simba na Ubunifu wao wa Kibegi ambao amesema umeitangaza Tanzania kiutalii.
Habari kuu nyingine iliotapakaa kwenye magazeti ya leo ni Moto uliowaka jana ukisababishwa na tenki la gari la mafuta kupasuka eneo la Ubungo na kusababisha taharuki na hasara kubwa kwa dereva bodaboda na vibanda vilivyoungua.
HAYA NDIO MAGAZETI KWA NJIA YA PICHA
Related Posts 📫
SPORTS
Mykhailo Mudryk may not be among Chelsea's best players...
OUR STAR 🌟
A Nigerian actress and filmmaker, Eniola Ajao,...
Blogging ✍The more niche, the better. Pick an area you...