0:00
Makala Fupi
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kijeshi ya nchi mbalimbali kupindua Serikali za nchi zao huku sababu zikitajwa kuwa ni Utawala Mbovu wa Viongozi waliopo Madarakani,Ufisadi, Rushwa na Kutokuheshimu Haki za Binadamu.
Inaelezwa 38% tu ya Nchi za Afrika zimebaki na utaratibu wa ukomo wa mihula ya Urais ,nyingine zilizojaribu kuondoa ukomo zimekuwa katika matatizo ya kukosa Utulivu,na MAPINDUZI ya Kijeshi.
HII NI ORODHA YA NCHI ZA AFRIKA ZILIZOONDOA UKOMO WA VIPINDI VYA URAIS
;# CAMEROON 🇨🇲
# CHAD 🇹🇩
# DJIBOUTI 🇩🇯
# GABON 🇬🇦
# GAMBIA 🇬🇲
# MAURITIUS 🇲🇺
# SOUTH SUDAN 🇸🇸
# TOGO 🇹🇬
# UGANDA 🇺🇬
Related Posts 📫
HABARI KUU
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Morogoro, imemhukumu miaka...
The 22-year-old had been set to compete in the Diamond...
AC Milan manager Paulo Fonseca said he had confidence in...
LOVE TIPS ❤
BOY-FRIENDThe last thing on a Boy's Mind...
NYOTA WETU.
Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta alipotembelea huko siku...