Dar es salaam.
Magazeti ya leo yana habari kuhusu , Sakata la Bima kwa wote lamuibua Waziri Ummy Mwalimu atakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu mchakato lakini akwama kutoa majibu. Na habari nyingine iliotapakaa kwenye magazeti ya leo ni kuhusu , Sakata la Gazeti la Mwanahalisi kuwaanika Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti CCM bara Abdullahman Kinana na mpango wa kukwamisha Uwekezaji Bandari ya Dar es salaam.
Habari nyingine ni Uwekezaji Bandarini wachambuliwa na Mkaguzi wa Zamani wa hesabu za serikali ( CAG) Profesa Mussa ASSAD na Magazeti pia kwenye kurasa za nyuma zinapoandikwa habari za michezo ,kuna habari kuhusu Azam ilivyoambulia kichapo mbele ya timu ya Wananchi Yanga wa 2 kwa bila.
HAYA NDIO MAGAZETI KWA NJIA YA PICHA.