0:00
Dar es salaam.
Jeshi la Polisi Makao Makuu,Dar es salaam, limetoa taarifa kuwa limewakamata na kuwashikilia Boniface Mwabukusi na Mpaluka Nyagali alimaarufu Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.
Taarifa iliotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi,David Misime leo Agosti 12,imeeleza kuwa watuhumiwa hao walikamatwa usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Mikumi Mkoani Morogoro majira ya saa nane na nusu usiku na kwamba wanaendelea na mahojiano.
Related Posts 📫
CELEBRITIES
An old tweet of Davido speaking of Tonto Dikeh’s...
Ayra Starr’s recent outfit choice at her album's private listening...
Fenerbahce coach Jose Mourinho has been suspended for one match...
MAPENZI
Watu wengi sio vijana au mabinti pekee ni wenye...
Michezo
Rais wa klabu ya Barcelona, Joan Laporte, ashtakiwa kwa...