Makala Fupi
Hivi ni viashiria vya Mwanamke ambaye hajatulia
1.SIO RAHISI KUPENDA
Dalili ya kwanza ya Mwanamke malaya ni kwamba mara nyingi huwa hataki mambo ya mahusiano na mambo ya kupendana,huwa anataka muda wote awe huru na hata akitokea mtu mwenye kipato kizuri. Mara nyingi utasikia akisema ,tuwe tu marafiki na ikitokea mtu akazidi kumfatilia basi atachifanya kuchukia na hata anaweza kuzalisha ugomvi.
2. ANACHUKULIA MAHUSIANO KIMASLAHI
Mwanamke malaya huwa haingii katika mahusiano kisa mapenzi, la hasha! Isipokuwa nyuma ya pazia kalenga kunufaika tu. Kiujumla kitu atakachokupa katika mahusiano, ujue hapo anatarajia faida yake,utakuta kwa mfano anakuchangamkia na kukufanyia vitu ambavyo hukutarajia lakini pamoja na bashasha zote hizi malengo ni kukuomba kitu. Yupo tayari afanye hata mambo ya hatari lakini ilimradi akuteke na kuondoka na kitu.
3. ANAKAMATWA NA MAMBO MADOGOMADOGO NA MTU YEYOTE
Kikawaida Mwanamke malaya,pale tu akikuomba chochote na wewe unampa au kutimiza ahadi unayompa basi yuko radhi kukufanyia nae jambo lolote haijalishi au hatojali malengo na mipango ya baadae. Mwanamke huyu hufanya hivi kwa kila mwanaume atakae tokea kumpa anachotaka.
4. WANAUME NDIO MARAFIKI ZAKE WENGI
Mwanamke malaya huwa ana marafiki wengi wa kiume na kila mmoja amemuweka kwa lengo fulani. Mwanamke kuwa na marafiki sio tatizo ,ila tatizo lipo pale Mwanamke anapokuwa na marafiki wa kiume ambao anao kwa malengo ya kumpa misaada katika maisha yake ya kila siku na sio urafiki wa mazungumzo tu . Unakuta marafiki hao wote kila mmoja anamhudumia na wote unaambiwa ni marafiki tu,utakuta huyu wa kulipa gharama za saloon, huyu wa vocha na mwingine ni wa kutoka nae. Hii ni ishara ya Mwanamke malaya.
5. USIPOMTIMIZIA ANACHOTAKA ANAVUNJA MAHUSIANO
Mwanamke malaya anakasirika haraka usipompa kile anachotaka .Wanawake kama hawa wamezoea kupata kitu chochote watakacho kutoka kwa wanaume na ukibahatika kupendwa na mtu kama huyu basi ujue sio bure,ameona kuna kitu utakachoweza ku