DiscoverCars.com                                                                       

KINANA AKATAA MABADILIKO YA KATIBA

0:00

“Sio lazima tubadili katiba hili kubadili sheria za uchaguzi” Abdullahman Kinana

Makamu Mwenyekiti wa CCM ,Abdulrahman Kinana amesema kuwa haamini kwamba hili sheria ya uchaguzi ibadilike lazima katiba Mpya ipatikane,kwasababu zipo sheria zilizo kwenye katiba na zinabadilishwa.

Amesema Tukisema tunataka kubadili sheria ya uchaguzi na wakati imeelezwa kwenye katiba,tunaweza kufanya mabadiliko kwenye sheria hiyo na ikapigiwa kura Bungeni na ikafuta yaliyoko kwenye katiba “.

Kuhusu mchakato wa katiba kama utafika mwisho amesema ni swali la kila mtu .Amesema “Tukijadili kwanini hatukupata katiba mwaka 2015 kila mmoja hapa atakuwa na yake ya kusema. Kuna watakaosema CCM walikwamisha na kuna watakaosema ni UKAWA waliotoka nje”.

See also  MAMBO HAYA YATASAIDIA KUONDOA RUSHWA NA UFISADI

By juniitv

JUNIITV

Leave a comment