DiscoverCars.com                                                                       

WASANII WANAOLIPWA HELA NYINGI ZAIDI AFRIKA

0:00

Orodha hii inaangazia wasanii kutoka bara la Afrika sio wenye asili ya Afrika wanaolipwa hela nyingi kwenye show zao. Hii tumeiweka kwa dola hili kuweka usawa kwa maana Msanii wa Nigeria akilipwa kwa Naira au Afrika kusini akilipwa kwa randi itakuwa ngumu kufahamu ukweli wa mabadilishano ya pesa kwa nchi husika.

1. Wizkid (☆$200k to $1milioni)

2.Burna Boy (200k to $1 milioni)

3.Davido OBO ($200K to $1 milioni)

4.Rema ($150k to 300k)

5.Tiwa savage ($150 to 300k)

6.Diamond Platinum ($100k)

7.Black Coffee ($80k)

8.Fally Ipupa ($50k)

9.Alikiba ($50k)

10.Sarkodie ($45k)

11. Sauti sol ($40k)

12.Shatta wale ($30k)

13.Stonebwoy ($30k)

14.Harmonize ($25k)

15.Nyashinski ($20k)

See also  EL CLASSICO YA KIBABE LEO KUMBEBA NANI LEO KATI REAL MADRID NA BARCELONA

By juniitv

JUNIITV

Leave a comment