DiscoverCars.com                                                                       

MFAHAMU MLINZI BINAFSI WA LEO MESSI

0:00

Michezo

Nyota wa Inter miami na mshindi mara 7 wa balloon’dor Leo Messi ameendelea kushika vichwa vya habari vya Ulimwengu baada ya kuonekana akiwa kwenye ulinzi wa hali ya juu kwenye matembezi yake na hata akiwa uwanjani akitimiza majukumu yake.

Mmiliki wa Timu ya Inter Miami ya nchini Marekani David Beckham amemuajiri mwanajeshi wa zamani wa jeshi la wanamaji wa Marekani, Bwana Yassine Cheuko kuhakikisha Messi anakuwa salama akiwa katika ardhi ya Marekani.

YASSINE CHEUKO ni Mwanajeshi wa zamani katika jeshi la maji na kwa sasa akiwa ni mstaafu amekuwa akishiriki katika michezo ya Taekwondo,Martial arts na Ndodi kwenye mashindano ya MMS

YASSINE CHEUKO ni miongoni mwa Wanajeshi wa Marekani walioshiriki kwenye vita ya Iraq na Afghanistan 🇦🇫

See also  GABRIEL AMPIGIA CHAPUO SALIBA

By juniitv

JUNIITV

Leave a comment