SABABU ILIOFANYA YANGA KUFUNGIWA HII HAPA

Dar es salaam.

Klabu ya #Yanga imefungiwa kusajili baada ya kushindwa kwenye kesi na mchezaji wake wa zamani Gael Bigirimana. Yanga ilipewa siku 45 kuhakikisha imemlipa mchezaji huyo raia wa Burundi malipo yake ya ada ya usajili.

Klabu hiyo ilitakiwa iwe imemlipa ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa lakini haikutekeleza hukumu hiyo .

Wakati FIFA inaifungia klabu hiyo kwa kutofanya uamisho wa wachezaji wa kimataifa,shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limeifungia klabu hiyo kufanya usajili au uamisho wa ndani.

TFF inazikumbusha klabu ,kuheshimu mikataba ambayo zimeingia na wachezaji pamoja na makocha kuepuka adhabu mbalimbali ikiwemo kufungiwa kusajili iwapo klabu inataka kuvunja mkataba na mchezaji au kocha inatakiwa kufanya hivyo kwa kuzingatia taratibu .

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related News 📫

PACOME, AUCHO NA YAO WAONGOZANA NA YANGA...
MICHEZO Wachezaji wa Yanga SC viungo Khalid Aucho, Pacome Zouazoua...
Read more
20 LESSONS THAT MEN NEED TO LEARN...
LOVE ❤ 1. Women fall in love with words. Words...
Read more
Pep Guardiola was heavily linked with the...
The appointment of Thomas Tuchel as England manager has led...
Read more
See also  Mwabukusi Ashinda Urais wa TLS

Leave a Reply