DiscoverCars.com                                                                       

NJIA HIZI 5 UTAMBULISHA MWANAMKE MALAYA

Makala Fupi Hivi ni viashiria vya Mwanamke ambaye hajatulia 1.SIO RAHISI KUPENDA Dalili ya kwanza ya Mwanamke malaya ni kwamba mara nyingi huwa hataki mambo ya mahusiano na mambo ya kupendana,huwa anataka muda wote awe huru na hata akitokea mtu mwenye kipato kizuri. Mara nyingi utasikia akisema ,tuwe tu marafiki na ikitokea mtu akazidi kumfatilia… Continue reading NJIA HIZI 5 UTAMBULISHA MWANAMKE MALAYA

SIRI NZITO KUHUSU DKT SLAA NA WENZAKE KUACHIWA

Mbeya. Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa CHADEMA Mpaluka Nyagali (Mdude) wameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mbeya kwa siku kadhaa tangu walipokamatwa Mkoani Morogoro. Philip Mwakilima ambaye ni Wakili wa Mwambukusi na Mdude,amesema watuhumiwa hao wawili wamebadilishiwa mashtaka kutoka Uhaini kuwa uchochezi na watatakiwa kuripoti tena kituo cha polisi Agosti… Continue reading SIRI NZITO KUHUSU DKT SLAA NA WENZAKE KUACHIWA

NCHI 10 ZA AFRIKA ZINAZOONGOZA KUPOKEA MISAADA

Makala Fupi Takwimu za World Population Review na Benki ya Dunia kwa kipindi cha takribani Miaka 5,Nchi za Afrika zinakadiriwa kupokea32% ya misaada ya kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya kati na 25% katika Nchi za Asia. Nchi 5 za Afrika Mashariki ni kati ya nchi 10 za Bara la Afrika zinazopokea… Continue reading NCHI 10 ZA AFRIKA ZINAZOONGOZA KUPOKEA MISAADA

SIRI YA WACHEZAJI KUKUBALI KUJIUNGA LIGI YA SAUDIA YABAINIKA.

Michezo Ligi ya Saudi Pro League imeleta mageuzi makubwa kwenye soka la Dunia hasa kwa kutoa mishahara mikubwa na ada kubwa za uhamisho kwa wachezaji wakubwa. Licha ya hayo yote bado wachezaji wengi wenye hadhi ya juu katika soka la Ulaya wakienda Saudia Arabia wanachagua kuishi nje ya Saudi Arabia sababu kubwa zikiwa ni utamaduni… Continue reading SIRI YA WACHEZAJI KUKUBALI KUJIUNGA LIGI YA SAUDIA YABAINIKA.

RAIS SAMIA AWAKAANGA MABALOZI WALA BATA

Dodoma. Rais wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan amewaapisha MabaloziWateule Ikulu Chamwino Dodoma leo Agosti 16,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba ni kwamba kuna Mabalozi ni kama vile hawajui wanachokifanya kwakuwa wapowapo tu na hawafanyi kazi kwa ufanisi. “Katika Nchi nyingine Mabalozi wetu sijui niseme hawajui wanachofanya ,wapo tu,nilishakutana na Rais mwenzangu ndani… Continue reading RAIS SAMIA AWAKAANGA MABALOZI WALA BATA

JE TIMU YA CHELSEA INAENDA KUTAWALA SOKA ?

Klabu ya Chelsea ya Magharibi mwa London imemtangaza mchezaji Moises Caicedo (21) ambae alikuwa mchezaji muhimu kunako kikosi cha Brighton & Hove Albion msimu wa 2022-23. Chelsea wamelipa jumla ya Euro milioni 115 ambayo ni Euro milioni 5 zaidi ya ofa ya klabu ya Liverpool na Moises Caicedo atacheza klabuni hapo kwa miaka 08 mtawalia… Continue reading JE TIMU YA CHELSEA INAENDA KUTAWALA SOKA ?

MATENDO YA KUMTAMBUA MKE WA KUOA

Makala Fupi Maisha halisi ya Mwanamke anayetarajia kuwa mke kwa maana ya maandalizi au mwenendo yana mambo yafuatayo; UVUMILIVU Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbalimbali yasiyovutia katika maisha/mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe… Continue reading MATENDO YA KUMTAMBUA MKE WA KUOA

ORODHA YA WACHEZAJI WALIOTOKA ULAYA NA KWENDA SAUDIA

Makala Fupi Wachezaji kutoka kwenye ligi za ushindani walioamia kwenye ligi ya Saudia,orodha yao hii hapa. Timu Al-Ahli Edouard Mendy Franck Kessie Ryad Boudebour Roberto Firmino Riyad Mahrez Allan Saint-Maximin Al-Ittihad Nuno Esperito Santo N’Golo Kante Fabinho Jota Karim Benzema Al-Fateh Slaven Bilic Jason Denayer Al-Hilal Jorge Jesus Kalidou Koulibaly Sergej Milinkovic-Savic Ruben Neves Malcom… Continue reading ORODHA YA WACHEZAJI WALIOTOKA ULAYA NA KWENDA SAUDIA