0:00
London
Winga #JadonSancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha #ManchesterUnited kwasababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erick Ten Hag alivyonukuliwa,bali hivyo ni visingizio dhidi yake.
Kabla ya kichapo cha jana cha 3-2 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema Sancho hajaonesha kiwango kizuri mazoezini ndio maana hakuwepo katika mipango yake.
Baada ya mchezo huo ,Sancho mwenye umri wa miaka 23 alisema “Nimeonesha bidii mazoezini wiki hii ,naamini kuna sababu nyingine ambazo siwezi kuzizungumza. Nimekuwa”mbuzi wa kafara ” kwa muda mrefu ,sio haki”.
Related Posts 📫
Biles soared high into the air as she performed her...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
The Unbeliever: Marriage can be hard enough at times, add...
In a remarkable display of skill and determination, Moroccan kickboxer...