50 CENT BADO ANAMSHAMBULIA MICHAEL JACKSON

0:00

Michezo.

Mwaka 2019 ,Rapa na Mwigizaji wa Marekani, Curtis James Jackson III kwa jina maarufu 50 cent,alinukuliwa kwa andiko lake akisema “kwasasa #ChrisBrown ni bora kuliko Michael Jackson “. Tweet, iliyopokea ukosoaji mkubwa kwani alitafsiriwa kama ,amemvunjia heshima Mfalme wa Pop ,Ulimwenguni marehemu Michael Jackson.

Mara hii tena 50 Cent ameibuka na hisia zinazofanana na jambo lake la miaka minne iliopita kwa kushare mchoro huu ukimuonesha #MichaelJackson akimkabidhi taji la Ufalme #ChrisBrown . Huku akiacha ujumbe wa kuonesha kukoshwa na mchoro huo.

Amenukuliwa

“Nimeipenda hii, nataka mchoro kama huu wa rangi nyeusi na nyeupe #chrisBrown ndiye mtu bora zaidi tulie nae hapa,lakini hakuna mtu atakayesema hivyo lazima niseme”.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Wanaomtusi TUNDU LISSU waonywa
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA mkoa wa...
Read more
Bollard wrecks Hamilton's final qualifying for Mercedes
ABU DHABI, - Lewis Hamilton qualified only 18th for his...
Read more
"WHY ARE MEN JUMPING ON THE 'ESTHER...
OUR STAR 🌟 "Why are men jumping on the 'Esther'...
Read more
WASHITAKIWA WA UBAKAJI WAKANA MASHITAKA
DODOMA WATUHUMIWA wa ukatili wa kijinsia dhidi ya msichana mkazi wa...
Read more
HOW TO GET ALL THE MONEY YOU...
LOVE ❤ If you want more money from your man...
Read more
See also  HOW TO LOVE YOUR HUSBAND

Leave a Reply