0:00
Michezo
Chama cha soka England (FA) kinatazamia kumpa kandarasi Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola kuwa kocha Mkuu wa England baada ya boss wa sasa Gareth Southgate.
Imeripotiwa kuwa viongozi wa chama cha soka England yaani FA wanaamini kuwa Southgate anaweza kuchagua kuachia ngazi baada ya mashindano ya Euro 2024 huku mkataba wake ukitamatika mwishoni mwa 2024.
Ripoti zinadai kuwa FA inamtazama kocha Pep kama chaguo sahihi kwenye orodha ya makocha wanaopigiwa chapuo kumrithi Southgate. Hata hivyo, kikwazo kikubwa kinasalia kuwa mkataba wa Guardiola na waajiri wake wa sasa timu ya Manchester city, ambao unatamatika 2025.
Related Posts 📫
LONDON, - Manchester City striker Vivianne Miedema scored and made...
Watuhumiwa wanne kati ya sita wanaokabiliwa na kesi ya kubaka...
Kijana Innocent Chengula (23) amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela...
Nasty Blaq, a prominent skit creator, has voiced his concerns...
Do you really desire a healthy marriage?
Are you really sure?
Are...