Michezo
RONALDO amesema kuwa yeye na Messi sio marafiki bali ni watu waliofanya kazi pamoja huku akidai kuwa na sasa wawili hao kila mmoja amefuata njia yake.
“Amefuata njia yake kama mimi nilivyofuata yangu.Bila ya kujali kama tunacheza nje ya Ulaya,mambo yake yanakwenda vizuri kwa vile nionavyo ,na mimi pia nafanya mambo yangu vizuri. Tumekuwa sehemu moja kwa miaka 15.Sisemi sisi ni marafiki lakini tumefanya kazi pamoja na tunaheshimiana”,
“Mabao 850 ni mafanikio ya kihistoria .Ilikuwa ni mshangao kwangu,sikuwahi kufikiria kuwa ningeweza kuyafikia. Lakini nataka zaidi,nataka kuwa kileleni ,kufikia pakubwa. Nataka kuwashukru wale walionisaidia ,klabu zote nilizochezea na timu ya taifa.”
Dondoo
WACHEZAJI WENYE MAGOLI MENGI KWA HISTORIA
1.🇵🇹 Cristiano Ronaldo
2. Leo Messi 🇦🇷
3. Pele 🇧🇷
WACHEZAJI WENYE MSAADA WA MAGOLI ZAIDI
1. Leo Messi 🇦🇷
2. Thomas Muller 🇩🇪
3. Luis Suarez 🇺🇾
WACHEZAJI WENYE HISTORIA YA KUKOKOTA MPIRA
1.Leo Messi 🇦🇷
2. Garrincha 🇧🇷
3.Ronaldinho 🇧🇷
Mchezaji mpaka sasa aliekamilika kwa kila kitu ni Leonel Messi.