0:00
Michezo
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa stars” imeandika rekodi nyingine ya kufuzu kucheza michuano ya Afrika kwa mara ya tatu baada ya kuilazimisha sare ya timu ya ALGERIA ya 0-0 .
Tanzania ambayo ilishiriki AFRICON kwa mara ya kwanza mwaka 1980 na baadaye 2019.imekamilisha michezo yake ya Kundi F kwa kukusanya jumla ya alama 8 nyuma ya ALGERIA mwenye alama 16 na mbele ya Uganda mwenye alama 7 na Niger aliyeshika mkia kwa alama 2.
Michuano ya AFRICON inatarajiwa kufanyika January 13 hadi February 11,2024 katika nchi ya Ivory Coast.
Related Posts 📫
Michezo
Baada ya kuitikisa Ulaya kwa kusajili wachezaji nyota kwenye msimu...
The Portugal midfielder has scored 79 goals and contributed 67...
MICHEZO
Beki wa kulia wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold yuko kwenye...
MICHEZO
Nyota wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Davido ametangaza...
Nigerian Pastor Jerry Eze, the visionary founder of Streams of...