Makala.
Bara la Afrika bado linakabiliwa na Changamoto kubwa kwenye masuala ya demokrasia Duniani. Kwa mujibu wa ripoti ya Economist Intelligence Unit (EIU) ni kuwa 12% tu ya nchi za Afrika zina kiwango bora cha Demokrasia, zikiongozwa na Mauritius.
Nchi zenye kiwango kibaya zaidi cha Demokrasia ni pamoja na Chad , DR-CONGO, AFRIKA YA KATI,GUINEA, BURUNDI, ZIMBABWE, SUDAN, ERITREA, LIBYA nk
EIU imekuwa ikitoa vielelezo vya Demokrasia kwa kupima michakato mbalimbali ikiwemo Uchaguzi, Utamaduni wa kisiasa, Ushiriki wa wananchi katika siasa,uwajibikaji wa serikali na Uhuru wa kiraia.
ORODHA YA NCHI HIZO NI
1. Mauritius 🇲🇺
2. Botswana 🇧🇼
3. Cape Verde
4. Namibia 🇳🇦
5. Ghana 🇬🇭
6. Senegal 🇸🇳
7. Afrika kusini 🇿🇦
8. Tunisia 🇹🇳
9. Kenya 🇰🇪
10. Malawi 🇲🇼
11. Madagascar 🇲🇬
12. Zambia 🇿🇲