MAJIZZO AGAWA GARI KWA MSHINDI WA SINGELI

0:00

Michezo

Mkurugenzi wa EFM Redio, Francis Ciza maarufu kwa jina la Dj Majizzo ameweka zawadi ya gari kwa msanii bora wa mziki wa singeli nchini.

Francis Ciza ” Majizzo “

Dj Majizzo amesema suala hilo lilianza kama utani ,lakini sasa ameamua kutoa gari hilo lenye thamani kubwa,ili kuondoa utata wa nani bingwa halisi wa mziki huo nchini baada ya wasanii hao kila mmoja kujiona bora kuliko wenzake.

Tumekuwa na wasanii wengi wa mziki wa singeli, lakini hatujui nani mkali kuliko wenzake,hivyo naweka Mercedes-Benz lishindaniwe na tupate mkali wa singeli Tanzania na hii italeta heshima kubwa kwa wasanii wa singeli ndani na nje ya nchi”,

Amefafanua Dj Majizzo.

Amesema wasanii watakaoshindanishwa watachujwa na kufikia watano hatua ya fainali, ambapo shindano hilo litaanzia ngazi ya mtaa,studio na fainali yake itafanyika Ukumbi wa Mlimani City.

Mercedes-Benz

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

REAL MADRID YATINGA FAINALI IKIICHAPA BAYERN MUNICH...
MICHEZO Real Madrid imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Read more
YANGA KUIKOSA HUDUMA YA LOMALISA ...
MICHEZO. Beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa ataukosa mchezo...
Read more
Villa boss Emery in selection dilemma over...
Aston Villa manager Unai Emery said he is yet to...
Read more
SABABU ROBINHO KUFUNGWA MIAKA 9
NYOTA WETU Ripoti zinasema kuwa mchezaji kandanda wa zamani Robinho...
Read more
"Anguka Nayo": How a Party Anthem Became...
Kenyan rap duo Wadagliz likely didn't anticipate the viral sensation...
Read more

Leave a Reply