LIGI KUU ENGLAND YA MOTO DiscoverCars.com

0:00

Michezo

Mwendelezo wa Ligi kuu ya England umeendelea hivi leo kwa mechi kadhaa katika madimba tofauti huku macho ya watazamaji yakiwa kwenye “London Derby ” kati ya Tottenham na Arsenal.

Mchezo wa Tottenham na Arsenal umemalizika kwa sare ya magoli 2 kwa 2, Arsenal ikitangulia kufunga kwa mkwaju uliosababisha mlinzi Romelo kujifunga dakika ya 26 kabla ya Mshambuliaji wa Tottenham Son kuisawazishia timu yake kwa bao safi mnamo dakika 42. Arsenal iliandika bao la pili kupitia mshambuliaji wake Saka mnamo dakika ya 54 kupitia mkwaju wa penati na huku Tottenham ikipata goli la kusawazisha mnamo dakika ya 56 kupitia Son.

Michezo mingine imewakutanisha ,Liverpool na Westham ambapo Majogoo wa Annfield wakitakata kwa ushindi wa 3 kwa 1 na huku Matajiri wa London, timu ya Chelsea wamefungwa na Aston villa 1 bila majibu huku Chelsea ndani ya Mechi 6 imeshinda 1 na kujikusanyia alama 5 kwenye ligi ya Epl. Brighton nayo ikaishushia Bournemouth mvua ya magoli ya jumla ya 3 kwa 1.

Mpaka sasa Manchester City imekuwa timu yenye ushindi wa asilimia 100 huku majirani zao nao ,timu ya Manchester United jana ilipata ushindi wake wa kwanza msimu mbele ya timu ya Bright

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Real Madrid's Ancelotti wary of Pachuca ahead...
Real Madrid are a much better team than they were...
Read more
Roff convinced building Wallabies will be competitive...
SYDNEY, - World Cup-winning winger Joe Roff, who played an...
Read more
RAIS SAMIA ATOA ONYO KWA WIZARA YA...
HABARI KUU Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Maji...
Read more
HOW TO HANDLE A MAN AND MAKE...
LOVE ❤
See also  ALEXANDER ISAK HAUZWI KOCHA EDDIE HOWE
1. Respect him, honour him, submit to his...
Read more
PETER MSIGWA ASHTUKA KUCHEZEWA RAFU UCHAGUZI NDANI...
Baada ya Siku chache kupita tangu Joseph Mbilinyi (Sugu) kutangazwa...
Read more

Leave a Reply