0:00
Michezo
Jumla ya mabao 8 yamepatikana kwenye mchezo kati ya matajiri wa Newcastle na Sheffield United katika mchezo wa Ligi kuu ya England.
Newcastle imeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kufunga magoli yaliyohusisha wachezaji 8 tofauti katika mchezo mmoja.
Michezo mingine kwenye ligi ya England ni kama ifuatavyo kwa njia ya picha.
Related Posts 📫
Makala.
Bara la Afrika bado linakabiliwa na Changamoto kubwa kwenye masuala...
Juventus imesema kupita taarifa kwamba
Michezo
" klabu ya Juventus inatangaza kuwa...
MICHEZO
Cole Palmer amefunga magoli manne na kuwa mchezaji wa...