DiscoverCars.com                                                                       

MANCHESTER CITY YATUPWA NJE YA MICHUANO

0:00

Michezo

Timu ya Manchester City imekuwa timu ya kwanza kwa timu za kwanza tano, kuaga kwenye michuano ya CARABAO baada ya kupokea kichapo cha goli 1 kwa bila dhidi ya Newcastle.

Kwa upande mwingine, Chelsea ya Mauricio Pochettino nayo imepata ushindi mbele ya Brighton. Chelsea ambayo imekuwa ikiangaika kupata matokeo ya ushindi na mashabiki wengi,wameshindwa kuelewa ni kwanini bodi ya klabu imewekeza kwa vijana badala ya kuwa timu ya ushindani kama ilivyokuwa imezoeleka? Mmoja wa watu waliohoji ni beki wa zamani wa timu hiyo, William Galas.

Wakati huo huo, Liverpool na Arsenal zimeibuka na ushindi na kuingia hatua ya pili ya michuano hiyo ya kombe kubwa kwenye nchi ya England.

See also  DEBUNKING MYTHS ABOUT SEX

By juniitv

JUNIITV

Leave a comment