TANZANIA NA WENZAKE KUANDAA AFRICON
Habari Kuu Nchi za Kenya 🇰🇪, Tanzania 🇹🇿 na Uganda 🇺🇬 zimepitishwa kuandaa michuano mikubwa ya soka barani Afrika yaani kombe la Mataifa ya Afrika(AFRICON) taarifa ya CAF imetaja mapema…
Habari Kuu Nchi za Kenya 🇰🇪, Tanzania 🇹🇿 na Uganda 🇺🇬 zimepitishwa kuandaa michuano mikubwa ya soka barani Afrika yaani kombe la Mataifa ya Afrika(AFRICON) taarifa ya CAF imetaja mapema…
Makala Fupi Leo mtandao wa Google umetimiza miaka 25 tangu ulipoanzishwa mwaka 1998 na wanafunzi Larry Page na Sergey Brin wa chuo cha Stanford ,jimbo la California wakiwa ni wanafunzi…
NYOTA WETU. Toka kwenye uumbaji imeonekana Mwanamke ana nguvu sana kwenye mahusiano yoyote. MUNGU alipomuumba Adam na Eva (Hawa) ,agizo la kwanza alilompa Adam ni kutokula matunda ya mti wa…
NYOTA WETU Mwaka 2020 kijana Ilerioluwa Oladinaji Aloba alijiunga na Marlian Music ambayo inamilikiwa na mwanamziki Naira Marley, baadae miaka miwili Mohbad alijiondoa kwenye hiyo record lebel huku ikitajwa mahusiano…
Magazeti Karibu, Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti asubuhi ya leo.
MASTORI Mshambuliaji mpya wa Bavarians ,muingereza Harry Kane amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudhani alifunga "hat-trick" (magoli 3) kwenye ligi kuu ya nchini Ujerumani "Bundesliga ". Kwa baadhi ya…
Michezo Nyota wa timu ya Al-Hilal ya nchini Saudia Arabia, Neymar Junior amesema hana furaha kufanya kazi na Mkufunzi Jorge Jesus. Hivi karibuni kumekuwepo na mvutano wa chinichini kati ya…
Magazeti Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya hivi leo, yakiwa na habari kuhusu Uteuzi na waliomamishwa au kupangiwa kazi mpya. Ni hakina nani ao? Tazama mbao za magazeti ya hivi leo.
MASTORI Wakati kocha Thomas Tuchel anaajiriwa ndani ya matajiri wa Ufaransa, PSG mwaka 2018 alipata dada wa kazi za ndani mwenye asili ya Ufilipino. Maajabu ya dada wa kazi huyu…
Michezo Nchini Uholanzi hapo jumapili kwenye mchezo kati ya Ajax na mtani wake wa jadi Feyenoord hali ilichafuka baada ya mashabiki wa Ajax kuzua vurugu zilizosababisha mchezo huo kusimamishwa. Polisi…