DiscoverCars.com                                                                       

TANZANIA NA WENZAKE KUANDAA AFRICON

Habari Kuu Nchi za Kenya 🇰🇪, Tanzania 🇹🇿 na Uganda 🇺🇬 zimepitishwa kuandaa michuano mikubwa ya soka barani Afrika yaani kombe la Mataifa ya Afrika(AFRICON) taarifa ya CAF imetaja mapema hivi leo. Nchi hizi za Afrika Mashariki zimepata zabuni hii baada ya kuwaangusha washindani wao Misri 🇪🇬 , Senegal 🇸🇳, Botswana 🇧🇼 na Algeria 🇩🇿… Continue reading TANZANIA NA WENZAKE KUANDAA AFRICON

MIAKA 25 YA MTANDAO WA GOOGLE FURSA NYINGI DiscoverCars.com

Makala Fupi Leo mtandao wa Google umetimiza miaka 25 tangu ulipoanzishwa mwaka 1998 na wanafunzi Larry Page na Sergey Brin wa chuo cha Stanford ,jimbo la California wakiwa ni wanafunzi wa elimu ya juu ya sayansi ya computer. Wanafunzi hawa walikuwa na malengo ya kuunda mtandao ambao ungeweza kukusanya wavuti ambazo huzalisha makusanyo ya Data.… Continue reading MIAKA 25 YA MTANDAO WA GOOGLE FURSA NYINGI DiscoverCars.com

DIAMOND PLATINUMZ KWA ORODHA YA WANAWAKE HII KAJIFUNZA

NYOTA WETU. Toka kwenye uumbaji imeonekana Mwanamke ana nguvu sana kwenye mahusiano yoyote. MUNGU alipomuumba Adam na Eva (Hawa) ,agizo la kwanza alilompa Adam ni kutokula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya. Katika hali isiyo ya kawaida kwa ushawishi wa Mwanamke (Eva) ,Adam alimkosea MUNGU na kula matunda. Hali ilienda mpaka kwenye… Continue reading DIAMOND PLATINUMZ KWA ORODHA YA WANAWAKE HII KAJIFUNZA

NYOTA NJEMA ILIVYOZIMA YA MOHBAD

NYOTA WETU Mwaka 2020 kijana Ilerioluwa Oladinaji Aloba alijiunga na Marlian Music ambayo inamilikiwa na mwanamziki Naira Marley, baadae miaka miwili Mohbad alijiondoa kwenye hiyo record lebel huku ikitajwa mahusiano mabovu na bosi wake. Mohbad ambaye alizaliwa Juni 8,1996 na kufa kwa kifo cha kushitukiza Septemba 12,2023 alizikonga nyota za mashabiki baada ya kutoa EP… Continue reading NYOTA NJEMA ILIVYOZIMA YA MOHBAD

KITUKO CHA HARRY KANE UJERUMANI

MASTORI Mshambuliaji mpya wa Bavarians ,muingereza Harry Kane amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudhani alifunga “hat-trick” (magoli 3) kwenye ligi kuu ya nchini Ujerumani “Bundesliga “. Kwa baadhi ya nchi ,ikiwemo na Tanzania na hata England, ukifunga magoli 3 bila kujali umefunga kwa kipindi kimoja au vipindi viwili au kwenye muda wa nyongeza hiyo… Continue reading KITUKO CHA HARRY KANE UJERUMANI

NEYMAR NA KOCHA WAKE HAWAIVI CHUNGU KIMOJA

Michezo Nyota wa timu ya Al-Hilal ya nchini Saudia Arabia, Neymar Junior amesema hana furaha kufanya kazi na Mkufunzi Jorge Jesus. Hivi karibuni kumekuwepo na mvutano wa chinichini kati ya wawili ao . Neymar Junior ambaye kwasasa hajafunga hata goli kwenye ligi hiyo anashinikiza kocha wake huyo aondoke ambaye kwa siku za hivi karibuni alimtaja… Continue reading NEYMAR NA KOCHA WAKE HAWAIVI CHUNGU KIMOJA

MASHABIKI WA AJAX WAFANYA VURUGU KISA MATOKEO banner

Michezo Nchini Uholanzi hapo jumapili kwenye mchezo kati ya Ajax na mtani wake wa jadi Feyenoord hali ilichafuka baada ya mashabiki wa Ajax kuzua vurugu zilizosababisha mchezo huo kusimamishwa. Polisi walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki waliokuwa kwenye dimba la Johan Cruyff Arena. Vurugu zilianza tu baada ya Ajax kufungwa goli la 3 na… Continue reading MASHABIKI WA AJAX WAFANYA VURUGU KISA MATOKEO banner