HIKI NDICHO KIMEMTOKEA BEKI GIFT FREDY
Michezo. Baada ya mkanganyiko uliotokea baina ya timu ya Yanga na beki wao Gift Fredy kuhusu kama ni kweli aliitwa timu ya Taifa ya Uganda au la sasa imebainika. "Inawezekana…
Michezo. Baada ya mkanganyiko uliotokea baina ya timu ya Yanga na beki wao Gift Fredy kuhusu kama ni kweli aliitwa timu ya Taifa ya Uganda au la sasa imebainika. "Inawezekana…
Michezo. Mwaka 2019 ,Rapa na Mwigizaji wa Marekani, Curtis James Jackson III kwa jina maarufu 50 cent,alinukuliwa kwa andiko lake akisema "kwasasa #ChrisBrown ni bora kuliko Michael Jackson ". Tweet,…
Makala Fupi Ali Bongo Ondimba ,mtoto wa Omar Bongo,ambaye alikuwa Rais wa Gabon kuanzia mwaka 1967 hadi kifo chake mwaka 2009. Ni mtu mashuhuri aliyeongoza kuzungumziwa zaidi mitandaoni Afrika. Kwa…
Makala Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya American Lung Association (ALA),vijana wenye kati ya miaka 18 hadi 24 Duniani wanazidi kuingia katika Matumizi ya "shisha" licha ya kilevi hicho…
London Winga #JadonSancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha #ManchesterUnited kwasababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erick Ten Hag alivyonukuliwa,bali hivyo ni visingizio…
Dar es salaam Waziri wa Kilimo wa Tanzania Hussein Bashe amesema sio kweli kwamba zao la Vanilla linauzwa kwa kilo Tsh .mil 1.5 ambapo amesema taarifa hizo ni za uongo…
London Wamiliki hao wa klabu hiyo ya England wanatarajiwa kufuta mpango wa kuuza timu hiyo wakidai kuwa wawekezaji hawajafikia kiwango cha bei ambacho wanakitaka hili kuiachia klabu,ambapo wao wanataka Pauni…
Michezo Dirisha la usajili la Ligi kuu ya England limefungwa ,ambapo ni rasmi sasa vita ya kusaka Ubingwa wa ligi hiyo pendwa ulimwenguni umeshika kasi. Ligi hiyo yenye vilabu 20…