Magazeti
Karibu Mtanzania kwenye mbao za magazeti ya hivi leo,ambapo habari zilizotokea mara nyingi kwenye magazeti haya ni pamoja na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kukipa chuo cha Diplomasia jina la aliyewahi kuwa naibu katibu mkuu wa UN.
Habari nyingine ni kuhusu Papa Francis kumsimika aliyekuwa Askofu Msaidizi Jimbo kuu la Tabora ,Protas Kadinali Rugambwa kuwa rasmi Mhadhama Kadinali mpya wa Tanzania.
Kali ya leo kwenye magazeti ya leo ni klabu ya Yanga kutinga hatua ya Makundi baada ya miaka 25 kupita na kujiwekea historia mpya .Yanga imetinga hatua hiyo baada ya kuwa na ushindi wa jumla wa 3 kwa 0.





Related Content
Related News 
Efia Odo, renowned Ghanaian actress and social media influencer, has...
MASTORI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na uwekezaji...
Paraguay international Miguel Almiron has returned to Major League Soccer...