FEISAL ATAJA KUKIMBIWA NA MPENZI WAKE

0:00

Nyota Wetu

Akizungumza na Mwananchi, Mchezaji wa Azam Fc ,Feisal Salim (Feitoto) amesema sakata lake na Yanga Fc lilimuathiri kikazi na kijamii,ikiwa ni pamoja na mpenzi wake alietaka kumuoa,kuolewa na mtu mwingine.

Amesema wakati akiwa kwenye wakati mgumu na sakata lile akiwa anawaza kesi yake itakavyoisha,Mpenzi wake alimuacha na kuolewa na mtu mwingine baada ya kushindwa kuvumilia na kuona maisha ya soka ya Feitoto yameishia hapo.

Ameeleza

“Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio ya kucheza pekee,wakati niko kwenye wakati mgumu ukiwaza hii kesi itaishaje,nikakutana na pigo lingine ambalo nilikimbiwa na mpenzi wangu nilieamini ningemuoa.

“Aliona maisha yangu ya soka kama basi yamekwisha alishindwa kuvumilia na kuamua kutafuta mtu mwingine kitu kilichoniumiza zaidi ni hatua mbaya zaidi kwangu ikawa kwenda kuolewa tena nikiwa katikati ya lile sakata, sikuwa nimemuoa ila tulikuwa na mipango mingi ya kimaisha kati yetu,hakutaka kuvumilia kabisa nililazimika kuyapokea maamuzi yake hakukuwa na namna na sasa nimerudi uwanjani maisha mengine yataendelea tu”.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

California has a great chance to crown...
Simmers goes into the one-day, winner-takes-all competition after a dominant...
Read more
Guinea stadium crush kills 56 people after...
CONAKRY, - A controversial refereeing decision sparked violence and a...
Read more
Shuttler Cheah Liek Hou is unstoppable.
Liek Hou brought much joy to the Malaysian contingent when...
Read more
Askofu BAGONZA awavua nguo Wahubiri miujiza...
NYOTA WETU POTOFU HUZAA POTOSHI au POTOSHI HUZAA POTOFU?Dayosisi 7...
Read more
Three more Australian women's water polo players...
Two players had tested positive on Tuesday. Meares added that...
Read more
See also  DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

Leave a Reply