MFAHAMU MOHAMMED DEIF “ROHO SABA” KIONGOZI WA HAMAS

0:00

NYOTA WETU

Kamanda wa jeshi la HAMAS Mohammed Deif alitoa wito kwa Wapalestina kila mahali kujiunga na operesheni ya kundi hilo ,muda mchache baada ya kundi la wapiganaji wa kundi lake kuivamia Israel na kusababisha maafa mabaya zaidi.

“Tumeamua kukomesha makosa haya ya Israel kwa msaada wa MUNGU, hivyo adui anaelewa kuwa muda wa kufanya uharibifu bila kuwajibishwa umefika mwisho. “

Alisema.

LAKINI, JE MOHAMMED DEIF NI NANI?

Rekodi ya sauti inayokwaruza ya Mwanamgambo wa Palestine ilituma onyo la kutisha kwa Israel miaka iliopita. Sauti hiyo iliorekodiwa inasema Israel italipa ” vikali ” ikiwa haitatimiza matakwa ya Hamas ,kundi la kiislamu la Palestine ambalo linaendesha shughuli zake kwenye Ukanda wa Gaza.

Sauti hiyo ilikuwa ya Mohammed Deif, Kiongozi mkuu wa kundi hilo la HAMAS,

Deif,mmoja ya wanaume wanaotafutwa zaidi na Israel alikuwa amevunja ukimya wake kwa mara ya kwanza katika kipindi cha muda wa miaka saba.

Lakini baada ya ujumbe wake kupuuzwa ,vita vilitokea na kuitikisa Israel na Gaza kwa zaidi ya siku 11 kabla ya kufikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Takribani watu 242 waliuawa huko Gaza ,kulingana na umoja wa Mataifa huku wengine 13 wakiuawa huko Israel wakati wa vita hiyo iliotokea kati ya Mei 10 na 21.

Umoja wa Mataifa unasema watu 129 waliouawa huko Gaza walikuwa raia.

Wanajeshi wa Israel wanasema 200 kati ya hao waliouawa walikuwa ni Wanamgambo; akiwemo kiongozi wa kundi la Hamas , Yahya Sinwar ,na kufikisha idadi ya wapiganaji waliouawa kuwa 80 . Ingawa Mohammed Deif akuwa miongoni mwa waliouawa.

“Wakati wa operesheni hiyo tukiitekeleza tulilenga kumuua Deif”

See also  UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

Alisema, Msemaji wa kikosi cha ulinzi cha Israel Hidai Zilberman kupitia mahojiano na The New

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Justin Lower turns another 65 into 2-shot...
A string of four birdies over five holes to open...
Read more
CUBANA CHIEF PRIEST PLEADS NOT GUILTY
CELEBRITIES According to recent reports, Pascal Okechukwu, widely known as...
Read more
NINI CHANZO CHA UHABA WA DOLA ...
HABARI KUU BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina...
Read more
LIST OF ARTISTS WHO HAVE BEEN NOMINATED...
CELEBRITIES Burna Boy, Ayra Starr, Asake, Seyi Vibez, Tems ...
Read more
CHIELLINI AMESTAAFU KUCHEZA MPIRA
NYOTA WETU. Beki wa zamani wa Juventus na Timu ya...
Read more

Leave a Reply