0:00
HABARI KUU
Utafiti wa chuo kikuu cha Essex cha England na chuo kikuu cha Adelaide cha Australia umebainisha kupanga nyumba kunaweza kumsababisha mtu kuzeeka haraka tofauti na mtu anaemiliki nyumba yake mwenyewe.
Njia hiyo imeonekana kuwa na athari zaidi ya kuvuta sigara na ukosefu wa ajira ambayo mwanzoni ilikuwa ikitajwa hao ndio mambo yanayohusisha uzee.
Imeelezwa matukio kama kudaiwa kodi mara kwa mara,kupangisha nyumba zenye gharama kubwa,zilizo karibu na maeneo yenye viwango vya juu vya uchafuzi wa mazingira au zilizo katika mazingira yenye usumbufu mwingi zinasababisha msongo wa mawazo na kuzeeka upesi.
Utafiti umetumia taarifa za watu 1420 na kuchapishwa kwenye jarida la “Epidemiology “.
Related Posts 📫
The Kenya Railways has introduced new SGR (Standard Gauge Railway)...
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga amesema kuwa uamuzi alioufanya...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Bournemouth midfielder Alex Scott is set for a spell on...
Passengers traveling through the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) in...