0:00
NYOTA WETU.
Mwigizaji Lupita Nyong’o ametangaza kuachana na Selema Masekela adai “udanganyifu” ulikuwa sababu ya kuachana na Selema katika andiko lake Instagram akieleza kwa uchungu kile kilichotokea.
Alhamisi Oktoba 19,2023, Lupita Nyong’o aliandika ujumbe wenye hisia kali kwenye ukurasa wa Instagram kwa kukiri kuwa kuna,
“Mambo muhimu zaidi yanayoendelea Ulimwenguni hivi sasa”.
Na kusema kwamba mawazo yake
“Yalikuwa kwa wale wanaoteseka sana”
Mwigizaji huyo wa “Black Panther “aliendelea kwa kusema alihitaji
“Kujitenga hadharani kwa mtu ambaye huwezi kumwamini tena . Ninajikuta katika msimu wa huzuni kwasababu ya mapenzi “
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya Novemba...
Prime Minister Trudeau has articulated that the recent decision is...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
LOVE ❤
CONFIDENT WOMEN1) They are comfortable in their Skin.Black...