0:00

MASTORI

Mchambuzi Garry Neville

“Chelsea imeonyesha dalili za kwa namna gani watakuwa hapo mbeleni . Bado wana matatizo kwenye ushambuliaji, bado hawajampata Mshambuliaji bora.

“Unaweza kuona sehemu ya kiungo na pembeni wako vizuri. Mabeki wao wa pembeni, Malo Gusto na Marc Cucurella wamecheza vizuri (dhidi ya Arsenal), na hao sio machaguo ya kwanza ni machaguo ya pili.

“Ukiangalia kwa kujipanga ,Chelsea walikuwa bora sana kwenye ulinzi . Wamefanya kitu ambacho Brighton huwa wanakifanya,Gallagher na Palmer kuja kwenye namba 10 na kiliwashangaza sana Arsenal.

“Hawakuweza kupeleka mpira kwa Odeegard kwasababu ya hiyo safu ya kiungo yenye watu wanne . Mauricio Pochettino ni kocha mzuri sana na ninafikiri atajivunia sana kuwakuza hawa wachezaji vijana alio nao.
Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  DUNIA INGEKUWA NZURI KAMA TUNGEKUWA NA WANAWAKE HAWA
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading