0:00
MICHEZO
Mwandishi nguli wa habari za michezo, Fabrizio Romano amethibitisha kuwa Lionel Messi ndiye mchezaji bora wa mwaka wa jarida la habari la Ufaransa la France Football Balloon d’Or.
Romano anadai viashiria vyote vipo ukingoni kuthibitishwa lakini Messi ndiye mshindi wa mwisho wa tuzo hiyo itakayotangazwa siku ya jumatatu Oktoba 30,2023.
Hii itakuwa tuzo ya 8 kwa mwamba huyo akiwa mbele kwa tuzo 3 zaidi ya mshindani wake wa karibu Cristiano Ronaldo.
Related Posts 📫
The 25-year-old was given permission to leave the club after...
Former Olympique de Marseille midfielder Abdelaziz Barrada has died at...
Palace have been linked with the 24-year-old throughout the transfer...
The luxury Airbus A330 aircraft, valued at a staggering N150...
HABARI KUU
Jumla ya wagombea wanne wa urais nchini CONGO...