0:00
MICHEZO
Mshambuliaji wa Barcelona, Ferran Torres amemzawadia marehemu bibi yake bao alilolifunga dhidi ya Shakhtar Donetsk ya Mtanzania Novatus Dismas Miroshi:-
“Hii ni kwaajili yako bibi
Yalisomeka maneno kwenye jezi yake baada ya kufunga bao hilo.
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas Miroshi hakuanza wala kuwepo hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba wa klabu hiyo.
Miroshi alikuwepo kwenye orodha ya wachezaji wa Shakhtar Donetsk waliokwea pipa kuelekea Uhispania.
FT: BARCELONA 2-1 SHAKHTAR ( Torres 28′ Lopez 36′ na Sudakov 62′
Related Posts 📫
Dodoma.
Rais wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan amewaapisha MabaloziWateule...
HABARI KUU
Sita wahofiwa kufa tukio la daraja kuporomoka Marekani
Huku...
LOVE TIPS ❤
1. CHECK YOUR ATTITUDENo matter how sexy...
MICHEZO
Neymar anatazamia kuondoka Saudi Arabia na amewaambia wachezaji klabu...