0:00
NYOTA WETU
Mchezaji wa klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam akiidai kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya shilingi bilioni 1 kwa kutumia picha zake kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram na Twitter bila idhini yake.
Mkude amefungua kesi ya madai 192 ya mwaka 2023 mbele ya Jaji Butamo Philip dhidi ya kampuni hiyo akidai fidia hiyo kwa kuvunja haki zake za msingi.
Jonas Gerald Mkude amejiunga na Yanga msimu huu akitokea Simba aliyoitumikia kwa misimu 12.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Rais wa Urusi, Vladmir Putin yupo nchini China...
With the noisy discontent around FIFA’s new Club World Cup...
OUR STAR 🌟
Popular reality TV host, Ebuka Obi-Uchendu has...
MEXICO CITY, - Israeli driver Robert Shwartzman collected a five-place...
Ismail Haniyah can rot in Hell.
Good Riddance! Hamas leader Haniyah...