0:00
HABARI KUU.
Bunge la Afrika Kusini limepitisha muswada mkubwa wa elimu ambao utaweza kuwahukumu wazazi kifungo cha jela iwapo watoto hawatokuwa shule.
Chini ya muswada huo wazazi wataweza kufungwa hadi miezi 12 ikiwa watoto wao watakuwa ni watoro au hawajaandikishwa shule wakati wamefika umri wa kwenda shule.
Sheria hiyo itapiga marufuku adhabu ya viboko shuleni.
Mabadiliko haya ni makubwa hayajawahi kutokea katika sheria za elimu tangu kuisha kwa mfumo wa ubaguzi wa rangi nchini humo mwaka 1994.
Chama kinachoongoza cha Africa National Congress (ANC) kimesema muswada huo utabadili mfumo wa elimu na utaweza kushughulika na changamoto za sasa na baadaye.
Related Posts 📫
MICHEZO
Cole Palmer ameibuka shujaa wa Chelsea kwa kufunga mabao...
Makala Fupi
Wachezaji kutoka kwenye ligi za ushindani walioamia kwenye...
SOUTHAMPTON, England, 🏴 - Premier League leaders Liverpool beat bottom...
PORTO, Portugal, 🇵🇹 - Portugal sealed a Nations League quarter-final...
1) ATTENTION
Yes, Attention, Women flourish on attention
Call her daily, call...