0:00
NYOTA WETU
Kiungo wa zamani wa Manchester United, Leicester City na Chelsea, Danny Drinkwater ametundika daluga akiwa na umri wa miaka 32.
Danny Drinkwater aliyeanzia kalia yake ya kusakata kandanda kwenye Academy ya vipaji ya Manchester United alikuwa mmoja wa nyota wa Leicester City tegemeo waliochukuwa ubingwa kwa kushangaza wengi kwenye ligi ya England msimu wa 2015- 16.
Related Posts 📫
MAKALA
Kampuni ya muziki ya APPLE huwa inatoa kiasi cha $50...
In an era where political clout often overshadows genuine service,...
MAKALA
Pamoja na Marais kuwa na ulinzi mkubwa lakini wapo...