GOLIKIPA ANAYEISHI NA RISASI MWILINI

0:00

NYOTA WETU

Ikumbukwe Januari 8,2010 Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Togo ilishambuliwa na magaidi katika eneo la Kabinda wakati ikiwa njiani kwenye basi ikielekea Angola kuanza michuano ya AFRICON.

Watu watatu walikufa huku mlinda mlango Kodjovi Obilale akipigwa RISASI ya mgongo iliyomlazimu kuishi nayo mpaka sasa.

Madaktari walisema kuitoa kunaweza kumsababishia matatizo zaidi.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Historia ya Mwanamziki Diamond platnumz
Don't miss out!
Invalid email address