0:00
NYOTA WETU.
Msanii wa Nigeria Burna Boy amefunguka baada ya kugoma kwenda Dubai kufanya onesho ambalo angelipwa mamilioni ya dola zaidi ya milioni 5 baada ya kukosa kibali cha kuvuta bangi Dubai.
Umoja wa Falme za Kiarabu UAE una sheria kali dhidi ya madawa ya kulevya ambazo zinatekelezwa kwa nguvu zote ,sheria ya Shirikisho Na.14 ya 1995 juu ya hatua ya kukabiliana na dawa za kulevya (sheria ya madawa ya kulevya) inaharamisha ununuzi,uingizaji ,usafirishaji, utengenezaji, uchimbaji,utenganishaji,uzalishaji, umiliki,upatikanaji na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya na aina nyingine za shughuli na vitendo vinavyohusiana na hivyo (kifungu cha 7).
Related Posts 📫
Daraja la John Magufuli (Kigongo- Busisi) lenye urefu wa...
HABARI KUU
KUFUATIA Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...
Bonnie, who had been struggling with the injury since last...
MICHEZO
Mlinda lango Ronwen Williams ameibuka shujaa wa Mamelodi kwa...