0:00
MICHEZO
Klabu ya Ac Milan imetangaza haikuwa inafahamu chochote kuhusu uraibu wa kucheza kamari wa kiungo wake wa zamani, Sandro Tonali kabla ya kumuuza kwenda Newcastle United ya EPL.
“Tulipata taarifa ya uraibu wa Tonali wa kucheza kamari kupitia ripoti ya vyombo vya habari ,tunachojua ni kile tunachosoma tu. Hatujui kitu kingine chochote “.
Tonali (23) alifungiwa miezi 10 kujihusisha na masuala ya soka kwa kukiuka Sheria na taratibu za michezo ya kubashiri ya Italia ambapo atatumia miezi 8 kushiriki katika mpango wa kutibu uraibu wa kucheza kamari.
Related Posts 📫
LOVE TIPS ❤
1. WORKING SO HARD AT YOUR JOB/BUSINESS...
NYOTA WETU
Didi-Stone Olomidé ambaye amepewa jina kutokana na mjomba...
MICHEZO
Kikosi cha Mamelodi Sundowns ambacho kinatarajiwa kutua nchini kesho...
LONDON, - Much of the focus in the early weeks...
AFYA
Kumekuwa na imani nyingi kuhusu dalili za mimba ya mtoto...