0:00
NYOTA WETU.
Msanii Diamond Platinum ameshinda tuzo ya Msanii bora Afrika katika tuzo za MTV Europe Music Award 2023 (MTVEMA2023).
Hii inakuwa tuzo ya 3 ya MT VEMA ya Diamond Platinumz akiwabwaga Asake na Burna Boy wa Nigeria, Libianca kutoka Cameroon ,TyleriCU kutoka Afrika Kusini.
Related Posts 📫
Habari Kuu.
Serikali ya India chini ya Waziri Mkuu Narendra Modi...
An 81st minute equaliser from Galatasaray forward Victor Osimhen laminated...
The continental governing body of football, CAF says it's president...