0:00
MICHEZO
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kocha wake Mkuu Roberto Oliviera Concaives Do Carmo (Robertinho).
Vilevile nae kocha wa Viungo Corneille Hategekemana amekubali kusitisha mkataba wake .
Uongozi wa klabu ya Simba unawashukru Makocha hao kwa mchango wao ndani ya klabu hiyo na inawatakia kheri kwenye majukumu yao mengine.
Katika kipindi cha mpito timu yao itakuwa chini ya kocha Daniel Cadena zkisaidiwa na Selemani Matola.
Tayari mchakato wa kumpata kocha Mkuu na kocha wa Viungo umeanza mara moja kuanzia sasa.
Related Posts 📫
When was the last time I did something special for...
UCHAMBUZI
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA...
NI KESI INAYOHUSU TUHUMA ZA KUMWINGILIA KINYUME NA MAUMBILE BINTI...
LONDON, - Manchester United manager Erik ten Hag was pleased...
Chama cha ANC, ambacho kiliwahi kuongozwa na Nelson Mandela, kilishinda...