0:00
MICHEZO
Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga, Ally Shaban Kamwe amewataka mashabiki wa klabu hiyo kusimama na kuinua mkono mmoja juu Ikafika dakika ya tano ya mchezo kama ishara ya kuonyesha vidole 5 katika mchezo wa kesho dhidi ya Coastal Union ikiwa ni ishara ya kuwapongeza wachezaji wa klabu hiyo kwa kazi nzuri walioifanya kwenye ushindi wa 5-1 dhidi ya Watani wao Simba Sc.
“Mashabiki wa Yanga tutakaoingia Mkwakwani kesho,tunaombwa ikifika dakika ya 5 kwenye mchezo wetu dhidi ya Coastal Union tusimame wote na kuinua mkono mmoja juu kama ishara ya vidole vitano. Hii ni kwaajili ya kuwapongeza wachezaji wetu kwa kazi nzuri walioifanya “.
Ameandika Ally Shaban Kamwe kwenye mitandao yake ya kijamii.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
The incident began at 22:00 local time when at least...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
HABARI KUU
Rais Cyril Ramaphosa leo ameapishwa kwa ajili ya...
EDINBURGH, - Winger Darcy Graham equalled the record for the...