ANGELINA JOLIE AISHUTUMU ISRAEL

0:00

NYOTA WETU

Muigizaji mkongwe na mshindi wa tuzo za Oscar ,Jon Voight (84) ambaye ni baba mzazi wa Muigizaji Angelina Jolie (48) ameelezea kusikitishwa kwake na maoni ya binti yake kuhusu mashambulio ya Israel yanayoendelea huko Gaza.

Kupitia mtandao wa Instagram Jolie aliandika

“Shambulio la kigaidi la Hamas haliwezi kuhalalisha kulipuliwa na kupoteza maisha ya watu wasio na hatia huko Gaza ,ambao hawana pa kwenda, hawana chakula na maji ,hakuna uwezekano wa kuhama na hata haki za msingi za binadamu za kuvuka mpaka kupata hifadhi

Mashambulio ya mabomu yanasababisha mahitaji mapya ya binadamu ya kila siku .Kunyimwa misaada, mafuta na maji kwa pamoja ni kuwaadhibu watu,ubinadamu unataka kusitishwa kwa mapigano mara moja”.

Katika video iliochapishwa kwenye mitandao, ilioambatana na kichwa cha habari “Ukweli na Uongo” akiwa amekaa mbele ya bendera ya Marekani, mzee huyo alisema

“Nimesikitishwa sana na binti yangu ,kama walivyo wengi ,binti yangu hana ufahamu wa heshima ya Mungu wala kweli ya Mungu.

Hili ni suala la kuharibu historia ya nchi ya Mungu, nchi takatifu,nchi ya Wayahudi.

Hii ni haki ya kwa wana wa Mungu wa nchi takatifu.

Jeshi la serikali ya Israel lazima lilinde udongo wake,watu wake. Hii ni vita,haitakwenda kuwa kama upande wa pili wanavyotaka,haiwezi kuwa ya kistaarabu sasa”.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Acting Police IG Vows Tight Security for...
Acting Police Inspector General (IG) Gilbert Masengeli has emphasized the...
Read more
Zimbabwe set T20 records in massive win
Sikandar Raza smashed an unbeaten 133 in 43 balls as...
Read more
WAKATOLIKI WAZUIWA KUJIUNGA FREEMASON ...
HABARI KUU
See also  P DIDDY ASHITAKIWA KWA MAKOSA YA UNYANYASAJI
Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis, umesema mafundisho...
Read more
HOW TO CALM YOUR HUSBAND'S MIND…
MAKE LOVE TO HIMSe* has a way of relaxing a...
Read more
RAIS SAMIA ATANGAZA NEEMA KWA WABUNIFU NCHINI
SIASA Wizara ya Nishati imetakiwa kuwatafuta Watanzania Wabunifu wa teknolojia, ili...
Read more

Leave a Reply