0:00
NYOTA WETU.
Baba Mzazi wa nyota wa Liverpool Luis Diaz aliyetekwa nchini Colombia takribani wiki mbili zilizopita,ameachiwa huru.
Taarifa zinaeleza mzee Luis Manuel Diaz alikabidhiwa kwa tume ya umoja wa kimataifa ya kibinadamu, kanisa na wahudumu wa Afya karibu na mpakani mwa Colombia na Venezuela.
Mamlaka zilizokuwa zikifanya mazungumzo na kundi la kihalifu lililomshikilia ,ili kushinikiza kuachiwa kwake zimesheherekea matokeo hayo.
Hata hivyo, mamlaka zimesema kutekwa kwake hakukutakiwa kutokea.
Related Posts 📫
NYOTA WETU
Muigizaji mtanashati kutoka Marekani Michael B Jordan amefunguka...
Holders Manchester United will travel to record 14-times winners Arsenal...
Popular songstress, Tiwa Savage has disclosed that Olamide rejected N100...
President William Ruto has nominated Deborah Mlongo Barasa as the...