0:00
NYOTA WETU.
Muigizaji wa filamu Morgan Freeman afichua siri za kuvaa hereni zake za dhahabu alizo zivaa kwa miaka mingi.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Freeman amemjibu shabiki kwa kumwambia
“Nimekuwa nikiulizwa kuhusu hereni hizi kila wakati, ukweli ni kwamba, hereni hizi zina thamani ya kutosha kwa mtu kuninunulia jeneza ikiwa nitakufa ugenini . Ndio maana mabaharia walikuwa wanavaa na ndio maana navaa.
Related Posts 📫
Ute ukeni hutofautiana kwa rangi, muonekano, na harufu kulingana na...
The Ikorodu Magistrate’s Court in Lagos State has granted the...
Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua...
Tottenham Hotspur's second-half capitulation to lose 3-2 at Brighton and...
Gilmour starred during Brighton's 2-1 win over McTominay's Manchester United...