0:00
MICHEZO
Mashabiki 11 wa soka wamejeruhiwa baada ya fataki kurushwa wakati wa mechi ya Bundesliga kati ya timu za Augsburg na Hoffenheim jana.
Kwa mujibu wa polisi ,fataki hiyo ilirushwa kutokea upande wa uwanja wa WWK Arena . Kelele kubwa ilisikika uwanjani humo huku watu kadhaa wakijeruhiwa wakati wa mlipuko.
Mchezo ulisimamishwa wakati huduma za dharura zikitolewa na baadaye uliendelea na kutoka kwa sare ya 1-1.
Polisi wameanza uchunguzi kuhusiana na tukio hilo na washukiwa wawili washakamatwa.
Related Posts 📫
The Belarusian needed 76 minutes to wrap up a 6-3...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu...
The Chairman, Fact-Finding Committee and Deputy Speaker of the State...
The Presidency on Monday appealed to Nigerians not to pile...
Nitajaribu kuandika kwa ‘ Lugha’ nyepesi kama linavyosomeka jina lake...