NYOTA WETU.
Madam Rita akiwa kwenye mazungumzo ndani ya Idhaa ya Kiswahili ya Kiswahili Tanzania (TBC) amefunguka kuhusiana na mahusiano yake ambapo amesema kuwa yeye bado yupo single na waliachana na mme wake hivyo haoni vijana wa kumfuata wala kumpenda.
“Mume sina na mchumba sina labda wananiogopa maana hatokei mtu wa kuniambia ananipenda wala I miss you zaidi ya watoto wangu tu,nahisi wananiogopa sijaolewa na mtu akija why not”.
Amesema Rita Poulsen.
Related News 📫
MICHEZO
Mlinda lango David Raya alikuwa shujaa wa Arsenal baada...
HABARI KUU
Ukumbi wa Jiji la Crocus huko Krasnogorsk, kitongoji...
Juventus manager Thiago Motta said he was focused on pushing...