0:00
HABARI
Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya kupambana na kudhibiti Dawa za kulevya, Aretas Lymo amesema wanayo orodha ya wasanii wanaotumia na wale wanaohamasisha matumizi ya dawa za kulevya nchini na hivyo watatumia sheria ambazo zipo baada ya kuthibitisha na kuwapeleka Mahakamani.
Lymo amesema hayo wakati akizungumza na wahariri na wanahabari na kueleza kuwa hawatasita kumfungia msanii hata kama ni mkubwa kiasi gani?
“Wapo wasanii wanaotumia Cocaine wapo wanaotumia Heroine na wapo wale wanaotumia bangi hivyo wajirekebishe kabla hatujaanza kuchukua hatua”.
Related Posts 📫
Kesi inayowakabili washtakiwa tisa wanaodaiwa kumuua Asimwe Novath, mtoto aliyekuwa na...
CELEBRITIES
Popular actress, Nkechi Blessing’s boyfriend, Xxssive lands in the...
South Africa have two chances to win the Rugby Championship...
Nigerian sensation Davido, also known as David Adeleke, has once...